PICHA:Vipi hali katika miji ya El Garas na Wabho baada ya kuondolewa Wanajeshi wa Ethiopia.

Saturday February 28, 2015 - 09:18:10 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2042
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 1 0
  • Share via Social Media

    PICHA:Vipi hali katika miji ya El Garas na Wabho baada ya kuondolewa Wanajeshi wa Ethiopia.

    Kwa mara ya kwanza vyombo vya habari vimechukua picha kadhaa kutoka katika miji na vijiji viliopo mkoa wa Galgaduud katikati mwa Ardhi ya Somalia baada ya kuondolewa Wanajeshi wavamizi kutoka Ethiopia ambapo walishikilia karibu mwaka sasa.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kwa mara ya kwanza vyombo vya habari vimechukua picha kadhaa kutoka katika miji na vijiji viliopo mkoa wa Galgaduud katikati mwa Ardhi ya Somalia baada ya kuondolewa Wanajeshi wavamizi kutoka Ethiopia ambapo walishikilia karibu mwaka sasa.Wilaya za Wabho,Elgaras na kijiji cha E'l lahelay ambapo yote yako chini ya mkoa wa Galgaduud wakaazi wake wameanza kurudi kwa pole pole na miji hizo kuna athari ya mabaki ya vita vikali kati ya wanajeshi wa Ethiopia na Mujahidina.


Wanajeshi hao wa kihabeshi waliteketeza makaazi ya wananchi huko wakifanya uharibifu Ardhi kubwa,mamia ya familia wamerudi E'lgaras na Wabho na mahitaji muhimu ya kila siku umeanza kupatikana.Wanajeshi wavamizi wa Misalaba kutoka Ethiopia waliovamia Ardhi ya Somalia hupata misaada kutoka kwa Serikali za mataifa ya kiarabu kama vile Umman pamoja na muungano wa Emaret,vituo vya wanajeshi wa Ethiopia walioacha wazi yalionekana mabaki ya kopo ya vyakula viliokuwa na sild ambapo Tawala za Kiarabu vilitoa kama misaada kwa Wanajeshi hao Maadui na inaonyesha wazi mikakati ya mataifa hizo kuwa ni Muungano wa Maadui dhidi ya Waislaam wa Somalia na Ardhi yao.Related Items