Vikosi vya IS wachukua Mji ulioko Syria na Mapigano yaliofanyika Mkoa wa Al-Anbaar.

Wednesday May 13, 2015 - 22:41:44 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 17221
  • (Rating 2.2/5 Stars) Total Votes: 122
  • 19 8
  • Share via Social Media

    Vikosi vya IS wachukua Mji ulioko Syria na Mapigano yaliofanyika Mkoa wa Al-Anbaar.

    Vikosi vya Wapiganaji wa Kiislaam wanaopambana katika nchi ya Syria na Iraq wamendelea kupata mafanikio makubwa kwenye Mapambao makali dhidi ya Wanamgambo wa Kishia na Manuseyria ndani ya masaa kadhaa yaliopita.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya Wapiganaji wa Kiislaam wanaopambana katika nchi ya Syria na Iraq wamendelea kupata mafanikio makubwa kwenye Mapambao makali dhidi ya Wanamgambo wa Kishia na Manuseyria ndani ya masaa kadhaa yaliopita.


Habari kutoka chini Syria zinathibitisha kuwa Baada ya mapambao makali Vikosi vya Dola ya Kiislaam wamefanikiwa kuutwaa mji muhimu wa Kistratiji wa Al Sukhnah.Wanaume machachare wanaoripoti mapambano ya Syria wanasema vikosi vya Dola ya Kiislaam wameufungua Mji wa Al Sukhnah na kuwaua mamia ya Wanajeshi wa Utawala wa Baghdaad.


Wapiganaji wa Dola ya Kiislaam waliokuwa katika kikosi cha kujitoa Muhanga walijilipua kwenye vituo vitatu viliokuwa kwenye lango la kuingia mji huo wa Sukhnah na baadae Mujahidina walianza mapambano ya ana kwa ana ndani ya mji huo.


Taarifa Rasmi iliyotolewa na Wilaya ya Hims iliyo chini ya Utawala wa IS ilisema kuwa Waislaam wameufungua mji wa Sukhnah "Allah amewafadhilisha Waja wake Mujahidina kuufugua mji wa Al Sukhnah,hatimae Mkoa wa Al Kheyr na Hims zimeuganishwa"ilisema sehemu ya taarifa hiyo iliyotolewa na Dola ya Kiislaam.


Hata hivyo vikosi vya Dola ya Kiislaam wameuteka Ghala za Silaha ya mji wa Al Sukhnah na sehemu kubwa ya mji wa Tadmur.


Huko huko chini Syria vugu vugu la vikosi vya wapiganaji pamoja na Mujahidina wa Jabhat Al Nusrah wameutwaa kijiji cha Museebyn iliyo katika mkoa wa Idlib baada ya kukabiliana vilivyo na Wanajeshi wa Utawala wa Kishia wa Bashar Al Asad.


Upande mwingine vikosi vya Dola ya Kiislaam IS wameudhibiti kiukamilifu Utawala katika eneo Muhimu la Kistratijia ya AlKarmah iliyo nje ya mji wa Al Falluujah Mkoani Al Anbaar.


Wanajeshi 35 wa Utawala wa Iraq pamoja na Wanamgambo wanaojulikana kwa jia la Hash-Di ambao ni Mashia walioundwa na Utawala wa Iran wameuawa kweye mapambano yalioibuka upya katika mkoa wa Al Anbaar.


Murad Jama

SomaliMemo,Dubai

Related Items