Kwa mara ya kwanza tangu alipovamiwa na kutekwa na Maaskari wa kupambana Uislaam tarehe 13,July,2014, uisku wa manene katika Nyumba na Markazi ya kufundishia Madrasa uliopo jijini Mwanza Sheikh Maarufu miongoni mwa Madaia wa Haqi Sheikh Abuu Ismail Ibrahim na baadhi ya Waislaam leo wamefikishwa kwenye…
Read More »