Mahakama ya Kislaam ya mji wa Harardeere yatekeleza hukumu ya Kislaam.

Tuesday September 23, 2014 - 22:17:10 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1779
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mahakama ya Kislaam ya mji wa Harardeere yatekeleza hukumu ya Kislaam.

    Hukumu ya Haddu Saarikh ilitekelezwa jana nyakati za jioni katika mji wa Harardeere iliyo Mkoani Mudug nchini Somalia,baada ya Mahakama ya Mji huo kutoa hukumu ya kukatwa mkono kwa mwanaume Saadiq Abdi Ahmed mwenye umri wa miaka 27 aliyepatikana na h

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Hukumu ya Haddu Saarikh ilitekelezwa jana nyakati za jioni katika mji wa Harardeere iliyo Mkoani Mudug nchini Somalia,baada ya Mahakama ya Mji huo kutoa hukumu ya kukatwa mkono kwa mwanaume Saadiq Abdi Ahmed mwenye umri wa miaka 27 aliyepatikana na hatia ya kuiba kiasi cha pesa Shilingi ya Kisomali 11,880,000.00 na hiyo imesababisha Saadiq kukosa Mkono wake.Saadiq Abdi Ahmed,jana jioni alisimamishwa kwenye eneo la uwanja mkubwa uliotekelezwa hukumu ya ukataji mkono katika mji wa Harardeere,mamia ya Wananchi wa mji walionekana kuja kushuhudia hukumu ya Allah ikitekelezwa.
Baada ya kutangazwa na kwanza kukatwa mkono,kulisikika Sauti za Wananchi wakipiga Takbiira kwa kumhimidi Allah,huko kila mwananchi akitaka kushuhudia kwa macho yake namna ukataji mkono unavyofanyika,na eneo la uwanja usalama ulidhibitiwa na Maofisa wa Usalama wanaojulikana Hisba katika mji wa Harardeere,Qadhi wa Mahakama wa Utawala wa Kislaam alitangaza hukumu hiyo mbele ya kadamnasi.Related Items