Takriban Wanajeshi 80 wa Ethiopia wauawa kwenye mapigano yaliofanyika Mkoani Galgaduud.

Wednesday September 24, 2014 - 08:26:59 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1872
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Takriban Wanajeshi 80 wa Ethiopia wauawa kwenye mapigano yaliofanyika Mkoani Galgaduud.

    Kuna maelezo zaidi kuhusiana na mapigano makali yaliofanyika Mkao wa Galgaduud ambapo iliwahusisha kati ya Vikosi vya Mujahidina na Wanajeshi wavamizi wa Misalaba kutoka Ethiopia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kuna maelezo zaidi kuhusiana na mapigano makali yaliofanyika Mkao wa Galgaduud ambapo iliwahusisha kati ya Vikosi vya Mujahidina na Wanajeshi wavamizi wa Misalaba kutoka Ethiopia.

Duru za kuaminika ilieleza kuwa kwenye Mapigano hayo Wanajeshi wa Ethiopia walipta Dhoruba kali ya kivita,Mizoga ya Wanajeshi hao waliouawa 5o pamoja na Majeruhi 100 yamepelekwa mji wa Dusamareeb na Balanbale jana nyakati za jioni.
Vikosi vya Mujahidina walimwagika ndani ya Kambi ya Wanajeshi wa Ethiopia yaliopo Wilayani E'el Garas.Afisa mmoja wa Mujahidina wa Wilayatul Islamiah ya Galgaduud amenukuliwa kuwa Vikosi vyao waliwapa mapigo ambao Maadui kamwe hawatoweza kuisahau,habari zaidi zinaeleza kuwa kwenye mapigano hayo Wakazi walishiriki na kusimama bega kwa bega na Mujahidina.
Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka kwa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen kuhusiana na kuangamia kwa Wanajeshi hao Maadui wa Allah.

Related Items