Askari Polisi wa Australia ashambuliwa na Muislaam apigwa risasi na kuawa.

Wednesday September 24, 2014 - 22:21:50 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1759
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Askari Polisi wa Australia ashambuliwa na Muislaam apigwa risasi na kuawa.

    Habari kutoka nchini Australia zinaeleza kuwa mtu mmoja Muislaam amewashambulia Askari Polisi wa nchi hiyo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Australia zinaeleza kuwa mtu mmoja Muislaam amewashambulia Askari Polisi wa nchi hiyo.


Takriban Maaskari wawili wamejeruhiwa vibaya baada ya Mwanaume mmoja Muislaam kuwashambulia kwa kutumia kisu katika mji wa Melbourne.


Mkuu wa Polisi nchini Australia amethibitisha kuwa Muislaam mmoja aliwashambulia Maaskari na kisha kuwajeruhi vibaya Maaskari wawili wa Jeshi la Nchi hiyo na baadae yeye kuawa."Mwanaume mmoja Gaidi amewajeruhi vibaya Maaskari wetu wa Jeshi la Polisi na baadae yeye alipigwa risasi na Maaskari",alisema mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Australia.Msemaji wa Dola ya Kislaam jana aliwataka wanaowaunga mkono Mujahidina kote Duniani kuwashambulia Watu wa Mataifa ya Magharibi.


Related Items