VIDEO:Obama azungumzia uvamizi wa Marekani kwenye mataifa ya Iraq na Syria.
Kiongozi wa Marekani Barack Obama amezungumzia kwa mara nyingine tene uvamizi wa Kishetani na Washirika wake wa Mataifa ya Magharibi kwenye nchi ya Syria na Iraq.

Obama ambae
siku ya jana jioni alizungumza na vyombo vya habari mjini Washington
alisema kuwa Kikosi cha Anga cha Marekani pamoja na Washirika wao wa
Kiarabu walishambulia vituo vya Mujahidina wa Dola ya Kislaam yaliokuwa
Iraq na Syria.
"Vita hivi siyo ya Amerika pekee bali ni Muungano mkubwa dhidi ya Magaidi",alisema kiongozi huyo Barack Obama.
Alipogusia kuhusu hatima ya mashambulio yao dhidi ya Mujahidina wa Dola ya Kislaam Obama amekiri kuwa ni vigumu kuwashinda IS.
Barack Obama amewashukuru mataifa 5 ya kiarabu yalioshiriki mashambulio ya jana dhidi ya Wananchi wa Kislaam nchini Syria.