Watalii Raia wa Ujerumani watekwa Ufilipino.

Wednesday September 24, 2014 - 22:28:47 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1769
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Watalii Raia wa Ujerumani watekwa Ufilipino.

    Habari kutoka nchini Ufilipino zinaarifu kuwa Raia wa mataifa ya Magharibi waliokuwa katika nchi hiyo kama watalii wametekwa.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Ufilipino zinaarifu kuwa Raia wa mataifa ya Magharibi waliokuwa katika nchi hiyo kama watalii wametekwa.Wanaharakati wa Kislaam wa Abuu Sayaf wamewachukua mateka watu wawili wazaliwa wa Ujerumani,Duru zinaeleza kuwa watalii hao walikamatwa karibu na kisiwa kilicho kusini mwa Ufilipino.


Afisa mmoja wa Mujahidina wa Abuu Sayaaf amesema kukamatwa kwa Raia hao ni sehemu ya opresheni kabambe iliyoanza Filipine dhidi ya Raia wote wa kigeni khususan mataifa ya Magharibi.


Wizara ya masuala ya nje wa Ujerumani imethibitisha kutekwa kwa Raia wawili na kuingia mikononi mwa Kundi la Kislaam la Abuu Sayaf inayopigana nchini Filipine.

Related Items