Mahakama mmoja nchini Urdun umetangaza kuwa Sheikh Abuu Qatada Al Falastini hana kosa na hatimae kumwachia huru sheikh huyo ambae ni Aalim Mujahid.
Jaji mkuu wa Serikali kibaraka wa Urdun
amesema kuwa tuhuma ya Ugaidi iliyokuwa ikimkabili shekhe tangu mwaka
jana kuwa imekosa ushaidi.
Sheikh Abuu Qatada Al
Falastini ambae ni Mwanazuoni mkubwa wa Kislafi anaegemewa sana na
Makundi ya Kijihadi kote ulimwenguni alikabidhiwa mwaka 2013 na Serikali
kibaraka ya Urdun akitokea Uingereza alikokuwa akizuiwa mwanzoni.
Abuu Qatada aachiwa huru kutoka Gereza mmoja iliyoko katika nchi ya Urdun.
Mahakama mmoja nchini Urdun umetangaza kuwa Sheikh Abuu Qatada Al Falastini hana kosa na hatimae kumwachia huru sheikh huyo ambae ni Aalim Mujahid.