Mujahidina wa Aljeria wawakata vichwa Raia wa Ufaransa.

Thursday September 25, 2014 - 21:14:16 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2996
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 3 0
  • Share via Social Media

    Mujahidina wa Aljeria wawakata vichwa Raia wa Ufaransa.

    Kundi la Kislaam linalopigana nchini Aljaza'ir/Al-Jeria limewakata vichwa Raia wa Ufaransa waliowakamata hivi karibuni.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kundi la Kislaam linalopigana nchini Aljaza'ir/Al-Jeria limewakata vichwa Raia wa Ufaransa waliowakamata hivi karibuni.Mkanda wa Video uliosambazwa kwenye mitandao ya Iternet iliwaonyesha watu waliofunga nyuso zao wakiwa na silaha nzito waliwachinja Raia hao wazaliwa wa ufaransa ambao walikamatwa siku tatu zilizopita Mashariki mwa nchi ya Al-Jeria.
Kikundi cha Jundul Khilafah inayoiunga mkono Dola ya Kislaam imetuma ujumbe ulioandikwa kwa Damu kwa Rais wa Ufaransa kuwa aachane kushiriki mashambulio dhidi ya Waislaam wa Syria na Iraq.


Mwanaume huyo aliyekatwa kichwa alikuwa na umri wa miaka 55 aliyekuwa kwenye starehe ya Utalii nchini Al-Jeria,Wapiganaji wote wa Kislaam wanaopigana Jihadi ya kimataifa wametishia kuwashambulia Raia wa nchi za Magharibi popote endapo hawatoachana kuupiga vita Uislaam.

Related Items