Mwanamke mwenye umri wa miaka 33 atekelezewa hukumu ya Rajmi kwenye mji wa Baraawe nchini Somalia.

Friday September 26, 2014 - 22:00:40 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2829
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 33 atekelezewa hukumu ya Rajmi kwenye mji wa Baraawe nchini Somalia.

    Katika uwanja mkubwa uliopo mji wa Baraawe mkoani Lower Shabelle leo kulifanyika hukumu ya Rajmi kwa mwanamke aliyewaoa Wanaume Wanne.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Katika uwanja mkubwa uliopo mji wa Baraawe mkoani Lower Shabelle leo kulifanyika hukumu ya Rajmi kwa mwanamke aliyewaoa Wanaume Wanne.Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 33 aliyefahamika kwa jina la Safiya Ahmed Jim'ale alizaa na mume wake wa kwanza aliyefahamika upande wa familia yake,lakini baadae akawa na wanaume wengine watatu huko akiwa na ndoa ya mwanaume wa kwanza na Mahakama ilidai mblele ya mtuhumiwa kuwa mwanamke huyo amehukumiwa kupigwa mawe hadi kufa.
Mwanamke huyo amekiri mbele ya Mahakama ya Kislaam kuwa mmoja wa Wanaume aliyokuwa naye waliachana hivi karibuni na hivi sasa ni mke wa Wanaume watatu waliobakia.Hata hivyo wanaume aliyowakutanisha Mwanamke huyo wametoa ushaidi mbele ya Mahakama uwepo wa kitendo hicho kiovu na Mahakama ilitangaza kutekelezewa hukumu ya Rajmi kwa Mwanamke Safiya Ahmed.Baadhi ya Wanazuoni wa Dini ya Kislaam wamesema kabla ya kutekelezwa hukumu hiyo kuwa Mwanamke huyo aliomba aombewe Du'aa ili Allah amsamehe madhambi yake,kutokana na kuingia makosa ya Ki'insania,na itakumbukwa baada ya kufanyika hukumu hiyo Jeneza yake ilisaliwa na watu wengi ambapo Swala ya Jeneza ilifanyika kituo cha Afya.Hukumu za Kisheria zinazofanyika katika Maeneo yote yanayohukumiwa kwa Sheria za Kislaam imesababisha watu kuishi chini ya Maisha Bora na Kulindwa Dini,Heshima,Mali,pamoja na Akili za mwanadaamu iliyo kwenye Muqadasaati za Kislaam,huko ukishuhudia baadhi ya maeneo yasiyo na Nidhamu au mfumo wa Sheria zikiwa tofauti kabisa.Chanzo:Radio Al Furqaan

Related Items