Watu wawili Raia wa Marekani wauawa katika mji wa Riyadh nchini Saudia Arabia.

Tuesday October 14, 2014 - 20:13:11 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2694
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 2 0
  • Share via Social Media

    Watu wawili Raia wa Marekani wauawa katika mji wa Riyadh nchini Saudia Arabia.

    Habari kutoka katika Ardhi takatifu ya Saudi Arabia zinaeleza kuwa mtu mmoja aliyejihami na Silaha amewaua watu wawili raia wa Marekani waliokuwa nchi hiyo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka katika Ardhi takatifu ya Saudi Arabia zinaeleza kuwa mtu mmoja aliyejihami na Silaha amewaua watu wawili raia wa Marekani waliokuwa nchi hiyo.Televisheni ya kiarabu ya Al Arabia limeripoti muda mfupi ulipita kuwa Raia mmoja wa Marekani ameuawa na mwingine amejeruhiwa vibaya Mashariki mwa mji wa Riyaadh.

Baado kuna sintofahamu namna walivyolengwa Raia hao wa Kimarekani ingawa baadhi ya duru zikidai kuwa walilengwa na watu waliokuwa na Silaha aina ya shotgun na Duru zingine zikiarifu kuwa waliuawa na watu waliokuwa na Visu.
Shirika la habari la Saudi arabia limethibitisha kutokea mauaji hayo na Polisi wameanza uchunguzi ya waliohusika kufanya mashambulio hayo.Raia wa mataifa ya Magharibi walioko kwenye mataifa mbalimbali wanakutana na hali ngumu ya kiusalama,mamilioni ya Waislaam kote Duniani wamekasirishwa na kitendo cha Marekani na Washirika wao kufanya mashambulio katika nchi za Iraq na Syria.Related Items