PICHA:Watu 50 wauawa kwenye mashambulio uliosababisha hasara uliofanyika mji wa Lamu nchini Kenya.

Tuesday June 17, 2014 - 17:16:49 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3531
  • (Rating 4.3/5 Stars) Total Votes: 3
  • 1 0
  • Share via Social Media

    PICHA:Watu 50 wauawa kwenye mashambulio uliosababisha hasara uliofanyika mji wa Lamu nchini Kenya.

    Kumepatikana maelezo zaidi kuhusiana na mashambulio yaliofanyika usiku wa kuamkia juzi mji uliokuwa karibu na pwani mwa Kenya.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kumepatikana maelezo zaidi kuhusiana na mashambulio yaliofanyika usiku wa kuamkia juzi mji uliokuwa karibu na pwani mwa Kenya.
Habari kutoka nchini Kenya zinaeleza kuwa watu waliojihami na Silaha walishambulia mji wa Lamu ambao ni mji wa Kitalii kama ilivyotangazwa na vyombo vya habari nchini Kenya na kwenye mashambulio hayo umechukua makumi ya maisha ya watu wengi wao wakiwa ni Maaskari wa Kenya.Afisa aliyezungumza kwa niaba ya Maofisa wa Polisi amewaambia waandishi wa Habari kuwa watu waliokuwa wamejihami na silaha walivuka kwa nguvu na kuwaua watu waliokuwemo kwenye Hoteli iliyo karibu na bahari katika makazi ya mpekotoni mjini Lamu.

mtu mmoja aliyenusurika na shambulio hilo amesema "watu waliojihami na Silaha waliingia kwenye Hoteli huko wakiimba Allahu Akbar Allahu Akbar na walianza kuwapiga risasi watu 6 waliauawa papo hapo na mimi nimeamua kutoroka ili kuokoa maisha yangu".
Serikali ya Kenya imethibitisha watu waliouawa kwenye shambulio hilo wamefikia watu 48,washambulio walikuwa wameudhibiti kwa muda mrefu kwenye majengo muhimu mjini lamu,Hoteli mbili walichoma moto na kituo cha Mafuta pamoja na Benki ya mmoja iliyokuwa eneo hilo.
Gazeti la Daily Nation iliarifu kuwa washambuliaji waliondoka na Magari mawili pamoja na Shehena za Silaha zilizokuwa kwenye Kituo cha Polisi cha Mpekotoni wilayani lamu.
Siyo mara ya kwanza kushambuliwa mji wa Lamu mwezi may mwaka huu ilifanyika shambulio iliyosababisha hasara kwenye kituo cha Polisi mjini humo.http://im68.gulfup.com/yFzEoq.jpg

http://wata.cc/up/2014/06/images/w-537ea6bbbc.jpg

http://wata.cc/up/2014/06/images/w-0e650fa9e9.jpg

http://wata.cc/up/2014/06/images/w-936a50f81e.jpg

http://wata.cc/up/2014/06/images/w-24ca0549e3.jpg

http://wata.cc/up/2014/06/images/w-55be4968cc.jpg

http://wata.cc/up/2014/06/images/w-93c3a2c901.jpg

http://wata.cc/up/2014/06/images/w-f498927929.jpg

http://wata.cc/up/2014/06/images/w-156a83594e.jpg

Related Items