AMISOM yafanya mauaji ya raia katika mji wa Marka na mapigano makali yaliofanyika mji wa Bula Mareer.

Thursday October 23, 2014 - 21:10:35 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1669
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 1
  • Share via Social Media

    AMISOM yafanya mauaji ya raia katika mji wa Marka na mapigano makali yaliofanyika mji wa Bula Mareer.

    Habari kutoka mkoa wa Lower Shabelle zinaeleza kuwa kumefanyika mapigano makali katika mji wa Bula Mareer ambapo kuna Wanajeshi wa Kigeni waliojiita AMISOM.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoa wa Lower Shabelle zinaeleza kuwa kumefanyika mapigano makali katika mji wa Bula Mareer ambapo kuna Wanajeshi wa Kigeni waliojiita AMISOM.Mapigano hayo yalikuja wakati Wanajeshi wa Kislaam walipofanya mashambulio ya pande kadhaa kwenye vituo vya Maadui,Wakaazi walisema walisikia milio ya Silaha zikirindima waliokuwa wakirushiana pande zilizokabiliana.Upande mwingine Wanajeshi hao wavamizi wa Misalaba AMISOM wamefanya mauaji ya Raia wasio na hatia katika mji wa Marka makao makuu ya Mkoa wa Lower Shabelle.Mashuhuda wamesema Wanajeshi wa AMISOM wamewaua Raia 4 wakaazi wa mji huo kwa kuwapiga Risasi,mauaji ya raia hao yanakuja wakati ambapo jana walipolengwa Shambulio la Bomu wanajeshi hao wa Kigeni kwenye mji wa Marka.

Related Items