Al-Shabab wakiri kuhusika na shambulio iliyosababisha hasara kwenye mji wa Lamu pwani mwa Kenya.

Tuesday June 17, 2014 - 17:34:47 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3105
  • (Rating 2.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 2 0
  • Share via Social Media

    Al-Shabab wakiri kuhusika na shambulio iliyosababisha hasara kwenye mji wa Lamu pwani mwa Kenya.

    Taarifa rasmi iliyotolewa na ofisi ya habari na maelezo ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ilikiri kuhusika na shambulio kubwa iliyosababisha hasara kweye kijiji ch wa Mpekotoni iliyo chini ya Kisiwa ch Lawama.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Taarifa rasmi iliyotolewa na ofisi ya habari na maelezo ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ilikiri kuhusika na shambulio kubwa iliyosababisha hasara kweye kijiji ch wa Mpekotoni iliyo chini ya Kisiwa ch Lawama.
Harakat Al-Shabab Al Mujahideen imesema shambulio hilo la Mpekotoni ilikuwa ya kulipiza Kisasi kwa Mashekhe na Waislaam waliouawa kwenye Mji wa pwani wa Mombasa na Maofisa wa Kupambana na Ugaidi katika utawala wa Uhuru Kenyatta.
Taarifa hiyo ya Al-Shabab ilifafanua maeneo yalioshambuliwa na Vikosi vya Mujahidina ni kuwa Mahoteli,Benki pamoja na Vituo vya Polisi waliokuwemo Maaskari wa Kenya.


Taarifa Rasmi iliyotolewa na Al-Shabab ilisema "Msije mkajidanganya kuwa iko siku mtakaa kwa Usalama hali ya kuwa Wanajeshi wenu igali baado wanafanya mauaji katika Ardhi ya Somalia na kuwaua Waislaam wasiokuwa na hatia".

Harakat Al-Shabab Al Mujahideen imewaonya Watalii waliopo nchini Kenya na kuwaambia kuwa Kenya ni eneo la Mapambano.

Hata hivyo kwenye tamko la Al-Shabab iligusia namna ilivyofanyika shambulio la Kisiwa cha Lamu huko Vikosi vya Mujahidina walikuwa wakishikilia eneo walioshambulia zaidi ya Masaa 10"Msije mkajidanganya kuwa iko siku mtakaa kwa Usalama hali ya kuwa Wanajeshi wenu igali baado wanafanya mauaji katika Ardhi ya Somalia na kuwaua Waislaam wasiokuwa na hatia",ilisema sehemu ya taarifa ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen.

Viongozi wa Kenya wamesema kwenye shambulio la Mpekoteni iligharimu maisha ya watu 50 huko kkukiwa na hkofu ya kuongezeka kwa idadi ya watu waliopoteza Maisha kwenye shambulio hilo.

Harakat Al-Shabab Al Mujahideen inakabiliana na Mataifa zaidi ya 6 walioivamia Ardhi ya Somalia Kijeshi na kuendelea kufanya Uhalifu kwenye Ardhi ya Waislaam wa Somalia ambapo Wanajeshi wa Kenya ni miongoni mwa Mataifa yaliofanya Uvamizi na kuendelea kufanya Uhalifu.

Hali ya Usalama nchini Kenya umeendelea kudorora tangu nchi ya Kenya kupeleka Wanajeshi wake katika Ardhi ya Kislaam ya Somalia ambapo Wanajeshi wa KDF wameingia kwa Ngvu kwenye Mikoa ya Gedo na Jubba ambapo kazi yao kuu ni kufanya Ufisadi na mauaji dhidi ya Wananchi wa Kislaam wasio na hatia.

Mahad Yare SomaliMemoBaardere SomaliaRelated Items