Mwandishi Hassan Gelle "Washambuliaji wa Mpekotoni walikuwa wakiwachambua watu kwa Waislaam na Wakristo".

Tuesday June 17, 2014 - 17:41:37 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3103
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 2
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Mwandishi Hassan Gelle "Washambuliaji wa Mpekotoni walikuwa wakiwachambua watu kwa Waislaam na Wakristo".

    Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen waliofanya shambulio kwenye makazi ya Mpekoteni kabla ya kutekeleza Azma yao waliwachambua watu kutokana na Dini zao kabla ya kufanya mauaji.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen waliofanya shambulio kwenye makazi ya Mpekoteni kabla ya kutekeleza Azma yao waliwachambua watu kutokana na Dini zao kabla ya kufanya mauaji.
Mwandishi Hassan Gelle ambae ni miongoni mwa Waandishi wa Habari wa BBC amezuru kwenye eneo iliyofanyika shambulio la Mpekoteni na kufanya nao mahojiano na mashuhuda wa tukio hilo.

"Vikosi vya Al-Shabab iliyofanya shambulio kwenye eneo la Mpekoteni walikuwa wakiwachambua watu kutokana na Imani zao,waislaam walikuwa wakiwaacha huko Wakristo walikuwa wakiuliwa baada ya kuwauliza Maswali".

Mtu aliyeshuhudia Vikosi vya Al-Shabab walioshambulia Mpekoteni amesema kuwa walimwuliza yeye kuhusu Nguzu ya Kislaam na baada ya kujibu na kuhakikisha kuwa nilikuwa Musilaam waliniachia.
Chanzo:Idhaa ya Kisomali ya BBC 

Related Items