Watu 20 wauawa kwenye shambulio iliyofanyika kwa mara ya pili katika maeneo ya Mpekoteni nchini Kenya.

Tuesday June 17, 2014 - 17:45:46 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2576
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Watu 20 wauawa kwenye shambulio iliyofanyika kwa mara ya pili katika maeneo ya Mpekoteni nchini Kenya.

    Habari kutoka nchini Kenya zinaeleza kuwa Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walifanya mashambulio kwa mara nyingine tena nje ya maeneo ya Mpekoteni kwenye Kisiwa cha Lamu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Kenya zinaeleza kuwa Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walifanya mashambulio kwa mara nyingine tena nje ya maeneo ya Mpekoteni kwenye Kisiwa cha Lamu.
Idhaa ya Andalus inayozungumza kwa niaba ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen iliarifu mda mchache uliopita kuwa Vikosi vya Al-Shabab walitekeleza Opresheni nyingine nje ya eneo la Mpekoteni na kuwaua watu 20 wakiwemo maofisa wa Polisi.

Afisa mmoja wa Mujahidina wa Al-Shabab ameliambia Al Andalus kuwa kwenye opresheni ya mara ya pili iliyofanyika eneo iliyo nje ya Mpekoteni waliwaua watu iliyowataja kuwa ni Maadui na Wanajeshi wa hifadhi ya Wanyama Pori na Misitu ya nchi hiyo. 
Habari zaidi zinaeleza kuwa mashambulio yalikuwa yakifanyika jana usiku kwenye vijiji vilio chini ya Mpekoteni,ni shambulio la Pili yaliosababisha hasara kufanyika ndani ya masaa 24 katika Ardhi Kenya.
Shambulio iliyofanyika usiku wa kuamkia Jana Al-Shabab ilikiri kutekeleza Shambulio hilo ikiwa ni Jawabu la Kulipiza Kisasi kwa Waislaam waliouawa katika mji wa Pwani wa Mombasa na kuwaonya Watalii wa Mataifa ya Magharibi kuendelea kuishi nchi hiyo.

Related Items