TIZAMA VIDEO:Sheikh Mohamed Al Maqdisi aachiwa kutoka Gerezani na Maelfu ya Waislaam wampokea.

Wednesday June 18, 2014 - 00:13:16 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4109
  • (Rating 2.5/5 Stars) Total Votes: 2
  • 4 0
  • Share via Social Media

    TIZAMA VIDEO:Sheikh Mohamed Al Maqdisi aachiwa kutoka Gerezani na Maelfu ya Waislaam wampokea.

    Sheikh Aasim Daahir Al-Barqaawi (Abuu Mohamed Al Maqdisi) hatimae leo hii Allah amemwunganisha na familia yake baada ya kumaliza kifungo cha miaka 5 Gerezani.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Sheikh Aasim Daahir Al-Barqaawi (Abuu Mohamed Al Maqdisi) hatimae leo hii Allah amemwunganisha na familia yake baada ya kumaliza kifungo cha miaka 5 Gerezani.

Kesi aliyokuwa akikabiliwa Shekhe ilikuwa ni kuwafadhili kifedha Imarat Al Islmaih inayopigana nchini Afghanistaan.

Shekhe alionekana na Nyuso za Furaha ingawa alionekana kuwa na uchovu kutokana na Matatizo ya Gerezani aliyokuwemo kwa muda wa miaka 5,Shekhe alipokewa na Maelfu ya Waislaam na kufurahishwa na kuaachiwa kwake.

 Mwandishi wa televisheni ya kiarabu ya Al Jazeera aliyemtembelea Shekhe amesema Abuu Mohamed Al Maqdisi kwa kipindi alimokuwemo Gerezani Allah alimfisha Ahli wake lakini Shekhe baado aneonekana kuwa na Msimamo wake wa Kisalafi Jihadi.
Related Items