Maandamano dhidi ya Utawala wa Kenya fanyika mji wa Lamu.

Wednesday October 29, 2014 - 21:29:58 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1861
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Maandamano dhidi ya Utawala wa Kenya fanyika mji wa Lamu.

    Mgongano kati ya Polisi wa Kenya na Wananchi waliokuwa na haisra umendelea kufanyika maeneo mbalimbali nchini humo ambapo katika miezi ya hivi karibuni kulikuwa na taarifa ya ukosefu wa usalama.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mgongano kati ya Polisi wa Kenya na Wananchi waliokuwa na haisra umendelea kufanyika maeneo mbalimbali nchini humo ambapo katika miezi ya hivi karibuni kulikuwa na taarifa ya ukosefu wa usalama.Habari kutoka Mkoa wa Pwani wa Kenya unaeleza kuwa Wananchi kadhaa wamejitokeza mitaani kwenye kisiwa cha Kitalii cha Lamu na kuipinga hatua za Serikali ya nchi hiyo.
Waandamanaji walikuwa wakipinga na kulalamikia hatua ya Serikali ya Kenya kuendelea kuiwekea mji wa Lamu hali ya hatari ya kutotoka nje nyakati za usiku na jioni,Maofisa wa Polisi wamesema Wananchi waliokuwa na hasira waliwarushia mawe magari na vituo vya Polisi.Mmoja ya wenye viti wa mji wa Lamu amezungumza na waandishi wa habari na kuelezea hisia yake namna hali hiyo ya hatari ulivyoweza kuathiri uchumi pamoja na Utalii wa mji huo na kuiomba Serikali ya Uhuru Kenyatta kuiondoa hali hiyo.Kiongozi mmoja aliyezungumza kwa niaba ya Serikali ya Kenya amesema Hali ya hatari uliowekwa kwenye mkoa huo utaendelea kufanya kazi hadi November,2014 ambapo usalama utakaporejea kuwa sawa.

Related Items