Wanajeshi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa Al-Aqsa.

Friday October 31, 2014 - 08:43:52 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2523
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Wanajeshi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa Al-Aqsa.

    Habari kutoka katika Ardhi ya Falastine unaokaliwa kwa mabavu na Utawala wa Kiyahudi zinaeleza kuwa Wanajeshi wa Kizayuni wamevamia Msikiti mtakatifu wa Al-Aqsa.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka katika Ardhi ya Falastine unaokaliwa kwa mabavu na Utawala wa Kiyahudi zinaeleza kuwa Wanajeshi wa Kizayuni wamevamia Msikiti mtakatifu wa Al-Aqsa.Mamia ya Wanajeshi waliokuwa na silaha walipambana na Vijana waliokuwa wakiandamana nje ya msikiti huo ambao vijana walikuwa hawana silaha yeyote na baadae waliingia ndani ya Msikiti wa Aqsa.
Imamu mkuu wa Msikiti wa Al-Aqsa amesema Wanajeshi wa Kiyahudi wameufunga Rasmi msikiti huo na kumpiga Risasi mtu mmoja muislaam Raia wa Falastine.Mnamo mwaka 1967 Mayahudi waliufunga msikiti huo kama walivyoifunga leo ambao ni wajibu wa Kila muislaam ukombozi wa Masjidul Aqsa,Utawala wa Misri kwa upande wake umetangaza kufunga Maabar ya Rafah na kuiweka kwenye hali ya hatari katika mji wa Rafah unaopakana kati ya Misri na Qazza.Ni hatua nyingine anaochukua Nidhamu ya Alsisi ya kusaidiana na Utawala Haramu wa Israel ambao lengo lake ni kupambana na Waislaam na Uislaam.

Related Items