Maelezo:Mlipuko uliowalenga Wanajeshi wa AMISOM na kusababisha hasara katika mji wa Marka.

Friday October 31, 2014 - 08:46:19 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1841
  • (Rating 5.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Maelezo:Mlipuko uliowalenga Wanajeshi wa AMISOM na kusababisha hasara katika mji wa Marka.

    Mlipuko mkubwa uliosababisha hasara jana ulilengwa Wanajeshi wa AMISOM katikati mwa mji wa Marka Mkoani Lower Shabelle nchini Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mlipuko mkubwa uliosababisha hasara jana ulilengwa Wanajeshi wa AMISOM katikati mwa mji wa Marka Mkoani Lower Shabelle nchini Somalia.Shuhuda mmoja aliyopo mji wa Marka ameliambia SomaliMemo kuwa Wanajeshi wa Uganda waliokuwa wakitembea eneo lililo karibu na Soko kuu katika mji huo walilipuliwa mara mbili.
Baada ya mda mfupi mlipuko mwingine ulilengwa Gari walililokuwemo Wanajeshi hao wa Kigeni ambao ulikuwa ukipita mtaa wa Rashia mjini Marka na inaarifiwa kuwa kuna Mauaji na Majeruhi iliyowapata Wanajeshi hao Maadui wa AMISOM.Habari zaidi zinaeleza kuwa Wanajeshi 15 wa Kiganda wameuawa na kupata majeraha mabaya kwenye shambulio hilo iliyofanyika mapema jana katika Mji wa Marka Mkoani Lower Shabelle.Silaha nzito waliokuwa wakirushia AMISOM baadhi ya mitaa ya mji wa Marka ulisikika nje ya mji huo ambao takriban Raia 5 wamepata Shahada kutokana na Urushaji huo wa AMISOM kwenye mitaa ya mji wa Marka.Liban Abdi Jehow

SomaliMemo,Mugadishu

Related Items