Mujahidina wa Nigeria waufungua mji muhimu baada ya mapigano makali na Wanajeshi wa Utawala wa nchi hiyo.

Friday October 31, 2014 - 08:50:08 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2687
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 2 0
  • Share via Social Media

    Mujahidina wa Nigeria waufungua mji muhimu baada ya mapigano makali na Wanajeshi wa Utawala wa nchi hiyo.

    Habari kutoka nchini Nigeria zinaarfiu kuwa Mujahidina wa Ahlu Sunna Lida'awat wal Jihad wameutwaa mji muhimu uliopo nchini humo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Nigeria zinaarfiu kuwa Mujahidina wa Ahlu Sunna Lida'awat wal Jihad wameutwaa mji muhimu uliopo nchini humo.Baada ya mapigano makali uliodumu masaa kadhaa Mujahidina kwa uwezo wa Allah wamefanikiwa kuudhibiti mji wa Mobi uliopo Kaskazini Mashariki mwa nchi ya Nigeria.
Walioshuhudia wanasema Vikosi vya Mujahidina wakiwa na Magari zao za Kivita tayari wameanza kufanya Doria ndani ya mji huo huko wakiwa wameudhibiti ofisi Makao makuu ya mji huo,Kituo kikuu cha Polisi na Benki kwenye mji wa Mobi.Msemaji wa Jeshi la nchi hiyo amethibitisha kupoteza mji huo na inahofiwa Mujahidina kuendelea kusonga mbele upande wa mji wa Medaguri mkoani Borno nchini Nigeria.Mji wa Mobi ni mji wa kibiashara na pia ni mji wa Pili kwa ukubwa mkoani Adamawa,Mujahidina wa Nigeria wamendelea kuutwa miji kwa kasi zaidi baada ya kuwavunja migongo Jeshi la Serikali Kibaraka la Nigeria.Related Items