Wanajeshi wa Kenya walipuliwa katika mji wa Mandera Kaskazini Mashariki.

Friday October 31, 2014 - 08:53:07 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2255
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 1
  • Share via Social Media

    Wanajeshi wa Kenya walipuliwa katika mji wa Mandera Kaskazini Mashariki.

    Kama tulivyowanukuu baadhi ya watu waliopo ndani ya mji wa Mandeera kuwa mlipuko mkubwa ulilengwa jana dhidi ya Gari la Maaskari Polisi waliokuwa wakifanya Doria katika mji huo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kama tulivyowanukuu baadhi ya watu waliopo ndani ya mji wa Mandeera kuwa mlipuko mkubwa ulilengwa jana dhidi ya Gari la Maaskari Polisi waliokuwa wakifanya Doria katika mji huo.


Mlipuko huo ulikuwa mkubwa sana hali iliyosababisha Gari hilo la Maaskari wa Kenya kuharibiwa vibaya,watu waliozungumza na vyombo vya habari ambao wameomba majina yao kutotajwa wamethibitisha vifo vya Maaskari na Majeruhi ingawa hakuna idadi rasmi ya Maaskari waliouawa na kujeruhiwa.

Mda mfupi baadae Maaskari wengine walifika eneo la tukio na kuanza msako katika mji wa Mandera na kuwakamata vijana kadhaa wa mji huo.Mashambulio na milipuko yamendelea kuongezeka katika mji wa Mandera huko Serikali Kibaraka ya Kenya ikishindwa kudhibiti hali hiyo,wiki mbili zilizopita msafara uliokuwa ukiongozwa na Mkuu wa Mji huo ulilengwa ingawa alinusurika kwenye shambulio hilo lakini Maaskari waliokuwa kwenye msafara wake waliangamia.Utawala wa Kenya unavuma kile ilichokipanda miaka 3 iliyopita tangu Wanajeshi wake kufanya uvamizi katika Ardhi ya Somalia,huko mapambano dhidi ya Wanajeshi wake ukipamba moto kwenye mikoa ya Gedo na Jubba kusini mwa Somalia.

Related Items