Kesi ya Sheikh Ponda yaakhirishwa tena hadi Nov,20,2014.

Monday November 03, 2014 - 23:04:02 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3176
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Kesi ya Sheikh Ponda yaakhirishwa tena hadi Nov,20,2014.

    Mahakama ya Kitaghuti nchini Tanzania baado imendelea kuwachezea Waislaam kwa kuipigia kalenda kila kukicha Kesi ya uzushi inaymkabilia Sheikh Ponda Issa Ponda aliyekamatwa Agosti 10,2013.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mahakama ya Kitaghuti nchini Tanzania baado imendelea kuwachezea Waislaam kwa kuipigia kalenda kila kukicha Kesi ya uzushi inaymkabilia Sheikh Ponda Issa Ponda aliyekamatwa Agosti 10,2013.Mamia ya Maaskari waliokuwa na Silaha na wengine waliovalia kiraia walitanda eneo la Mahakama kwa minajili ya kuwatisha Waislaam waliokusanyika kusikiliza Kesi hiyo.Mahakama ya Kitaghuti Kanda ya Dar Es Salaam,leo imetupilia mbali rufaa ya katibu wa Jumuia na Taasisi za Kiislaam Tanzania,Sheikh Issa Ponda aliyepelekwa na Wakili wake Juma Nassoro ya kupinga hatia ya adhabu aliyohukumiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu akidai kuwa hapakuwa na ushaidi wa kutosha wa kumtia hatiani kwa Mashtaka yaliokuwa yakimkabili.Kesi nyingine walioyaita kuwa ya Uchochezi inayomkabili Kiongozi huyo Katika Mahakama ya Taghuti Hakimu Mkazi Kisutu ambayo inasikilizwa na Jaji Augustine shangwe imeakhirishwa hadi Nov,20 mwaka huu.Mamia ya Waislaam nchini Tanzania wanazuiliwa Magerezani bila hatia huko engine wakisingiziwa kuhusika na Kesi za Ugaidi na kuhusishwa na Kundi la Harakat Al-Shabab Al Mujahideen linalopigana nchini Somalia,Siku chache zilizopita Maaskari wa kupambana na Uislaam waliwapiga Risasi Vijana watatu akiwemo Yahaya Hassan Omarai (SENSEI YAHAYA).


Related Items