Mapambano yaliofanyika nje ya mji wa Baraawe na taarifa za kukamatwa kwa Wanajeshi wa Ethiopia katika Mkoa wa Galgaduud.

Monday November 03, 2014 - 23:05:42 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1918
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Mapambano yaliofanyika nje ya mji wa Baraawe na taarifa za kukamatwa kwa Wanajeshi wa Ethiopia katika Mkoa wa Galgaduud.

    Vikosi vya Kiislaam yamefanya mashambulio dhidi ya vituo vya Maadui wa Kigeni Wanajeshi wa Kinasara yaliopo nje ya mji wa Baraawe.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya Kiislaam yamefanya mashambulio dhidi ya vituo vya Maadui wa Kigeni Wanajeshi wa Kinasara yaliopo nje ya mji wa Baraawe.Habari kutoka katika Mkoa wa Lower Shabelle zinaeleza kuwa Mapigano makali yalifanyika usiku wa kuamkia jana katika eneo linalojulikana Ambareso ambao kwa umbali iko KLM 5 kwenda mji wa Baraawe.
Mapigano hayo yalikuja wakati Mujahidina walipo washambulia kwa silaha nzito vituo vya Maadui na baada ya muda mfupi ulifuatia makabiliano ya ana kwa ana.Wanajeshi wa Misalaba wa AMISOM baada ya mapigano walishambulia kwa silaha nzito mitaa yalio nje ya mji wa Baraawe,inaarifiwa shambulio waliofanywa dhidi ya Maadui ilisababisha hasara kwa maisha ya Wanajeshi.Upande mwingine Habari kutoka Mkoa wa Galgaduud zinaeleza kuwa Mapigano yaliodumu masaa kadhaa kwenye kijiji kilicho karibu na mji wa Dusamareeb.Kijiji cha Bula'le ambao Wanajeshi wa Ethiopia walibaki juzi yalikutana na mapigano makali,taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa baadhi ya Wanajeshi wa Ethiopia walikamatwa kwenye mapigano hayo lakini uhakika wa taarifa hizo baado haijathibitishwa. 

Related Items