Wanajeshi wa AMISOM wauawa kwenye milipuko yaliofanyika mji wa Mugadishu.

Monday November 03, 2014 - 23:07:39 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1461
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Wanajeshi wa AMISOM wauawa kwenye milipuko yaliofanyika mji wa Mugadishu.

    Habari kutoka Wilaya ya Huriwaa mjini Mugadishu unaeleza kuwa Milipuko kadhaa yaliofuatana ambao ulilengwa Magari waliokuwa nao Wanajeshi wa Kiafrika AMISOM umesababisha hasara mbalimbali.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka Wilaya ya Huriwaa mjini Mugadishu unaeleza kuwa Milipuko kadhaa yaliofuatana ambao ulilengwa Magari waliokuwa nao Wanajeshi wa Kiafrika AMISOM umesababisha hasara mbalimbali.Mapema jana Asubuhi Milipuko mitatu yalisikika eneo la Biya Makaazi ya Sukha Holaha ambao Kikosi mmoja wapo ya Wanajeshi Wavamizi walikuwa wakitembea.
Mashuhuda wanasema Wanjeshi 3 wa Jeshi la Uganda waliuawa kwenya mashambulio hayo na Magari waliokuwa nalo Wanajeshi hao limeharibiwa vibaya kutokana na ukubwa wa Milipuko yaliolengwa Maadui hao.Mji wa Mugadishu masaa yaliopita ulishuhudia milipuko kadhaa na mauaji ya kupangwa dhidi ya Wanajeshi wa Kigeni pamoja na Maofisa wa Serikali inayofanya kazi na Maadui.

Related Items