VIDEO:Takriban watu 11 wauawa nchini Saudia Arabia .

Tuesday November 04, 2014 - 22:06:18 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2574
  • (Rating 3.5/5 Stars) Total Votes: 2
  • 3 1
  • Share via Social Media

    VIDEO:Takriban watu 11 wauawa nchini Saudia Arabia .

    Kwa uchache Mashia 6 wameuawa na wengine 10 kujeruhiwa vibaya baada ya kushambuliwa Kaskazini mwa Ardhi ya Haramayn unaojulikana Saudi Arabia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kwa uchache Mashia 6 wameuawa na wengine 10 kujeruhiwa vibaya baada ya kushambuliwa Kaskazini mwa Ardhi ya Haramayn unaojulikana Saudi Arabia.Habari kutoka Mkoa wa Kaskazini ambao una wakaazi wengi wenye itikadi ya Kishia ya Marwafidha zinaeleza kuwa watu waliojihami walifanya shambulio kubwa kwenye eneo waliokuwa wakifanya sherehe zao za Kishia.
Duru zilieleza kuwa Risasi nyingi zilifyatuliwa kwenye mkusanyiko huo wa Kishia baadae watu 6 walipoteza maisha kama walivyoeleza maofisa wa Polisi wa Utawala wa Kitaghuti wa Aala Saudi.Shambulio hilo iliyofanyika mji wa Alihsaa umewathiri jamii ya Kishia waishia eneo hilo huko sherehe yao ya Ashuraa ikisimamishwa kutokana na tukio hilo.Watu hao waliofanya mauaji ya Mashia ambao walifunga nyuso zao baada ya kufikia malengo yao waliondoka kwenye eneo hilo,Picha kadhaa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zilionyesha Damu nyingi zikiwa zimetapakaa na watu waliojeruhiwa wakiwa wamelala chini na wengine wakikimbizana huko na kule.


TIZAMA VIDEO HAPA CHINI


Related Items