Polisi mjini Mombasa wamwua Shekhe maarufu nchini Kenya.

Wednesday November 05, 2014 - 21:32:28 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4186
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Polisi mjini Mombasa wamwua Shekhe maarufu nchini Kenya.

    Habari kutokana nchini Kenya zinaeleza kuwa Maaskari wa kupambana na Uislaam wamemwua Shekhe Maarufu katika mkoa wa Pwani.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutokana nchini Kenya zinaeleza kuwa Maaskari wa kupambana na Uislaam wamemwua Shekhe Maarufu katika mkoa wa Pwani.Vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa Sheikh Salim Morgano ameuawa leo alipokuwa akitoka Msikiti mmoja aliyokuwa akiongoza,inasemekana wauaji walimvizia njiani mda mfupi tu baada ya kutoka Swalah ya Ishaa.
Kiongozi mmoja wa Baraza la Waislaam mjini humo amesema wanawatuhumu Polisi wanaohusika na kile kinachoitwa Ugaidi ambapo ni maarufu kwa mauaji ya Mashekhe na Waislaam kwa ujumla.Habari zaidi zinaeleza kuwa baadhi ya mitaa mjini Mombasa kuna hali ya wasiwasi kufuatia kuawa kwa Shekhe huyo na inahofiwa hatua ya ulipizaji kisasi utaokao fanyika mkoa wa Pwani nchini Kenya.

Related Items