Vikosi vya Mujahidina waingia kwa vita mji wa Beled Haawo katika Mkoa wa Gedo.

Wednesday November 05, 2014 - 21:34:24 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1946
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 1
  • Share via Social Media

    Vikosi vya Mujahidina waingia kwa vita mji wa Beled Haawo katika Mkoa wa Gedo.

    Hasara kubwa imeripotiwa kutokea kufuatia Mapigano makali yaliofanyika mji wa Beld Haawo uliopo mkoani Gedo kusini Mashariki mwa Ardhi ya Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Hasara kubwa imeripotiwa kutokea kufuatia Mapigano makali yaliofanyika mji wa Beld Haawo uliopo mkoani Gedo kusini Mashariki mwa Ardhi ya Somalia.

Habari kutoka mkoani Gedo unaeleza kuwa jana nyakati za Usiku wa Manane kulizuka mapambano makali katikati mwa mji wa Beled Haawo,mapigano hayo yalikuja baada ya Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab kuingia ndani mwa mji huo.

Milio ya Silaha nzito waliokuwa wakirushiana pande zote ulisikika ndani ya mji wa Beled Haawo,makali ya mapigano hayo yalifanyika kituo waliokuwepo Wanamgambo wa Kisomali wanaosaidiana na Wanajeshi wa Ethiopia ambapo upo nje ya mji huo baadae mapigano hayo ulisambaa hadi ndani ya mji huo.

Mpaka sasa haijajulikana hasara rasmi uliotokea kwenye mapigano ya Wilaya ya Beled Haawo na ni mara ya kwanza kufanyika mapigano makali ndani ya mji wa Beled Haawo baada ya miezi 5 ya mwisho.

Related Items