Mlipuko uliosababisha hasara yalengwa Maaskari Polisi wa Kenya katika mji wa Mandera.

Wednesday November 05, 2014 - 21:36:02 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2256
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Mlipuko uliosababisha hasara yalengwa Maaskari Polisi wa Kenya katika mji wa Mandera.

    Habari kutoka katika Ardhi unaokaliwa kwa mabavu na Serikali ya Kenya Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo unaeleza kuwa kumefanyika mashambulio yaliosababisha hasara yamefanywa dhidi ya Jeshi la Kenya.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka katika Ardhi unaokaliwa kwa mabavu na Serikali ya Kenya Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo unaeleza kuwa kumefanyika mashambulio yaliosababisha hasara yamefanywa dhidi ya Jeshi la Kenya.Mlipuko huo ulitokea leo baada ya Gari mmoja la Jeshi la Polisi kulipuliwa katikati mwa Mji wa Mandera.
Mashuhuda wanasema Mlipuko huo ulisababisha Maafa na Majeruhi kwa Maaskari waliokuwemo kwenye Gari hilo na muda mfupi baadae ulisikika tena mlipuko mwingine uliofanyika katikati mwa mji wa Mandera lakini haikufahamika mara mmoja idadi ya Maaskari walioangamia kwenye shambulio hilo.Si mara ya kwanza kufanyika milipuko kama hayo kwa mji wa Mandera mkuu wa Wilaya hiyo alinusurika kuawa baada ya kulengwa shambulio la Bomu mwezi jana.

Related Items