VIDEO:Wanajeshi wa Marekani wabomoa Kambi zao kwa mikono yao wenyewe nchini Afghanistaan.

Sunday November 09, 2014 - 08:54:57 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2247
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    VIDEO:Wanajeshi wa Marekani wabomoa Kambi zao kwa mikono yao wenyewe nchini Afghanistaan.

    Wanajeshi wa Muungano wa NATO waliouvamia Ardhi ya Afghanistaan kwa kipindi cha miaka 13 sasa wameanza kubomoa kambi zao zilizotengenezwa kwa kuta ngumu ndani ya nchi hiyo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wanajeshi wa Muungano wa NATO waliouvamia Ardhi ya Afghanistaan kwa kipindi cha miaka 13 sasa wameanza kubomoa kambi zao zilizotengenezwa kwa kuta ngumu ndani ya nchi hiyo.Habari kutoka nchini Afghanistaan zinathibitisha kuwa Wanajeshi wa Marekani wameanza kubomoa sehemu ya Kambi kubwa ya Bagraam na kazi hiyo wanatekeleza wenyewe kwa mikono yao.
Video iliyotangazwa na Shirika la habari la Kifaransa iliwaonyesha Wanajeshi hao wakibomoa sehemu ya Ghala ya vyakula na Malazi ya kambi hiyo kubwa ya Bagraam huko wakifanya mpango wa kuondoka miezi ya hivi karibuni kutoka nchini Afghanistaan.Mikoa mengine Wanajeshi hao wa Marekani wamekwisha ondoka na kambi hizo walizoachia tayari zimesha dhibitiwa na Mujahidina wa Imaratul Islamiah ya Afghansiataan.Tizama Video hapa chini


Related Items