Vikosi vya Al-Shabab wadhibiti kwa vita kisiwa cha Kuddaa na Makumi ya Wanamgambo wauawa.

Sunday November 09, 2014 - 08:58:06 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1971
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Vikosi vya Al-Shabab wadhibiti kwa vita kisiwa cha Kuddaa na Makumi ya Wanamgambo wauawa.

    Baada ya mapambano makali yalioanza mapema jana asubuhi hatimae Mujahidina wa Al-Shabab kwa uwezo wa Allah wamefanikiwa kuudhibiti kisiwa cha Kuddaa kilichopo kwenye mkoa wa Lower Jubba kusini mwa Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Baada ya mapambano makali yalioanza mapema jana asubuhi hatimae Mujahidina wa Al-Shabab kwa uwezo wa Allah wamefanikiwa kuudhibiti kisiwa cha Kuddaa kilichopo kwenye mkoa wa Lower Jubba kusini mwa Somalia.Habari kutoka Mkoani Lower Jubba zinaeleza kuwa Wanamgambo wa Ahmed Madobe waliovibaraka pamoja na Wanajeshi wa Kenya wamepata hasara kubwa kwenye mapambano ya jana.Taarifa Rasmi iliyotoka upande wa Mujahidina ilithibitisha kuchukuliwa Kisiwa hicho pamoja na Shehena kubwa za Silaha huko idadi ya hasara ya maisha walioupata Maadui ikifikia kwa pamoja Maaskari 25.
 

Liban Abdi Jehow

SomaliMemo,Mugadishu

Related Items