UFAFANUZI:Hasara zilizosababishwa na Mapambano ya Kuddaa vifo vya Maadui yafikia 43 na Al-Shabab yakiri kuhusika.

Sunday November 09, 2014 - 09:02:30 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2022
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    UFAFANUZI:Hasara zilizosababishwa na Mapambano ya Kuddaa vifo vya Maadui yafikia 43 na Al-Shabab yakiri kuhusika.

    Kuna maelezo zaidi yalioyopatikana kuhusiana na mapambano makali yaliofanyika mapema jana nyakati za Alfajiri katika eneo la mji wa Kuddaa Mkoani Lower Jubba Kusini mwa Ardhi ya Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kuna maelezo zaidi yalioyopatikana kuhusiana na mapambano makali yaliofanyika mapema jana nyakati za Alfajiri katika eneo la mji wa Kuddaa Mkoani Lower Jubba Kusini mwa Ardhi ya Somalia.Mashuhuda waliopo Kuddaa wamesema Vikosi vya Al-Shabab wameudhibiti kikamilifu eneo kubwa ya mji wa Kuddaa baada ya kuwaua Wanamgambo wengi wa Ahmed Madobe waliokuwa mji huo.
Habari kutoka Kuddaa zinaarifu kuwa hasara zilizopatikana kutokana na vita hivyo vimeongezeka Maiti za Maaskari 13 ilitemwa na Bahari jana huko Miili ya Maaskari wengine 25 zikitapakaa eneo la kituo cha Polisi cha Wilaya na nje ya mji wa Kuddaa.Afisa mmoja wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen amethibitisha kuwa vikosi vyao wamewashinda Maadui na kuchukua Ghanima kubwa za Silaha walizokuwa nazo Wanamgambo waliouawa kwenye mji huo wa Kuddaa.
"Mapambano makali yalifanyika leo asubuhi kwenye mji wa Kuddaa na baadae Wanamgambo waliokuwepo mji huo waliangamizwa vibaya,maiti za Maaskari 13 iliyotupwa na Bahari iko katikati mwa mji wa Kuddaa",alisema mtu mmoja aliyoko Kisiwa cha Kuddaa ambapo aliweza kuzungumza na vyombo vya habari.Vipi waliweza kuudhibiti Al-Shabab mji wa Kuddaa?


Duru za kuaminika ililiambia SomaliMemo kuwa mamia ya Wanajeshi wa Al-Shabab waliuvamia mji wa Kuddaa asubuhi na mapema kutoka upande wa kaskazini na baadae Wanamgambo wa Ahmed Madobe waliokuwa Kuddaa waligawanyika pande mbili ambapo Kundi mmoja walijaribu kupambana ambao wengi wao wameuawa na kundi nyingine iliamshwa na mkiki mkiki wa Risasi na kuamua kukimbilia upande wa Baharini wakitumia Boti ili kuokoa nafsi zao na kuelekea upande wa Kisiwa kingine cha Madaw.
Vikosi viliofanya mashambulio dhidi ya mji huo wa Kudda walikuwa na Magari ya Kivita na walikuwa wakitumia zana mpya za kisasa,Boto waliotorokea Wanamgambo wa Ahmed Madobe ilizama katikati mwa Bahari na Wanamgambo waliokuwemo kwenye Boti hilo wote waliangamia kwa idadi walikuwa ni Maaskari 13.
Shehena za Silaha zilizoingia mikononi mwa Mujahidina wa Al-Shabab.


Taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Ghala kubwa za kuhifadhia silaha ya Wanamgambo wa Ahmed Madobe ilioko mji wa Kuddaa imechukuliwa na Mujahidina na hakuna Askari aliyenusurika kwenye vita hivyo vya mji wa Kuddaa,Wanajeshi wa Kinasara waliokuwa Wilaya ya Badaade ambapo iko umbali wa KLM 35 kwenda mji wa Kuddaa upande wa Kaskazini hawakudhubutu kutoa Msaada wowote kwa Maswahiba wao. 
Silaha walizochukua Harakat Al-Shabab Al Mujahideen zimo silaha za kisasa na Mabomu mapya ambapo Serikali ya Kinasara ya Kenya iliwapa Wanamgambo wa Utawala wa Ahmed Madobe walio na makao yao kwenye mji wa Kismaayo,Duru za kuaminika zinaeleza kuwa kuudhibiti kwa Al-Shabab mji huo umerahishwa na Wanamgmbo hao walioangamizwa na mpango wao mbovu ambao hapo awali walikuwa wakiutawala upande wa Kaskazini mwa Kisiwa cha Kudhaa ambapo kazi yao kubwa iliyowashugulisha ilikuwa kutafuna Miraa na kunywa Pombe.Wanajeshi wa Kenya waliouvamia Mikoa ya Jubba na Gedo wanawafanya Wanamgambo wa Kisomali kila kukicha kuwa ni Ngao yao kutokana na Risasi za Mujahidina.Ni hasara ya pili ndani ya siku 20 kwa Wanamgambo wa Utawala wa Ahmed Madobe mwishoni mwa mwezi wa October,2014,waliuawa Maaskari 15 kwenye shambulio kama hili katika Kijiji cha Abdalla Birole nje ya mji wa Kismaayo.
Liban Abdi Jehow

SomaliMemo,Mugadishu

Related Items