Sh.Abuu Mus'ab "Tumewaua Maadui 64 na upande wetu wamestush-hid Mujahidina 3 katika vita vya mji wa Kuddaa".

Sunday November 09, 2014 - 09:05:25 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2341
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Sh.Abuu Mus'ab "Tumewaua Maadui 64 na upande wetu wamestush-hid Mujahidina 3 katika vita vya mji wa Kuddaa".

    Uongozi wa kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen umetolea ufafanuzi zaidi kuhusiana na mapambano makali yaliofanyika jana katika kisiwa cha Kuddaa iliyoko mkoani Lower Jubba kusini mwa Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Uongozi wa kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen umetolea ufafanuzi zaidi kuhusiana na mapambano makali yaliofanyika jana katika kisiwa cha Kuddaa iliyoko mkoani Lower Jubba kusini mwa Somalia.Sheikh Abdulazizi Abuu Mus'ab msemaji wa kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen amesema alipokuwa akizungumza na Radio Al Andalus kuwa wamewaua Wanamgambo 64 wa Maaadui na kuchukua ghanima za silaha kubwa.
"Idadi ambao Mujahidina walishuhudia ni miili 64 ya Wanamgambo Murtadiina na Ghala zao za Silaha pia tumechukua na hakika sifa zote njema anastahiki Allah pekee",alisema Sheikh Abuu Mus'ab.Alipoulizwa kuhusu idadi ya Mujahidina waliopata Shahada kwenye vita hivyo Abuu Mus'ab amesema "waliopata shahada upande wa Mujahidina ni 3 Allah awarehemu na majeruhi ni 5".Harakat Al-Shabab Al Mujahideen kwa mara nyingine tene imewataka Wanamgambo wa Kisomali walio ngao kwa Wanajeshi wa Ethiopia na Kenya kuondoka kwenye safu za Maadui waliovamia Ardhi yao na kuanza kulinda dhidi ya Maadui wavamizi.Related Items