VIDEO:Silaha za Marekani alizowapa Waasi wa Syria yaingia mikononi mwa Mujahidina.

Monday November 10, 2014 - 21:32:03 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 5897
  • (Rating 2.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 2 2
  • Share via Social Media

    VIDEO:Silaha za Marekani alizowapa Waasi wa Syria yaingia mikononi mwa Mujahidina.

    Habari kutoka nchini Syria zinaeleza kuwa mapigano makali yaliofanyika kaskazini mwa nchi hiyo umewaangamiza wafuasi wa Marekani nchini Syria.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Syria zinaeleza kuwa mapigano makali yaliofanyika kaskazini mwa nchi hiyo umewaangamiza wafuasi wa Marekani nchini Syria.Vikosi vya Jabhat Al Nusrah umekamilisha na kumaliza uwezo wa kijeshi wa Mhalifu wa Kivita Jamal Ma'aruuf ambae alikuwa kiongozi wa wanamgambo waliojiita "Jeshi la ukombozi wa taifa la Syria".
Mujahidina wa Jabhat Al Nusrah wamechukua Silaha za kisasa alizotoa Marekani kwa Jamaal Ma'aruuf silaha hizo ni pamoja na Magari za kivita,Bunduki aina ya G3 wanazotumia Wanajeshi wa Kikomandoo,na ghala za Silaha.Kuteketezwa kwa uwezo wa Jamal Ma'aruuf na Kundi la Hazmi inamaanisha kumalizwa kwa baadhi ya Mawakala wa Amerika katika nchi ya Syria,kundi pekee waliobakia ambao kwa sasa baado unafurukuta ni kundi la Ki'almaani la Kikurdi linalopigana na Dola ya Kiislaam katika mji wa Aynul Arab ambapo unafadhiliwa na Utawala wa Barak Obama. 


 

Related Items