Mbunge Mohamed Umar Dalha anusurika kwenye jaribio la kuawa

Wednesday November 12, 2014 - 07:20:27 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1649
  • (Rating 5.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mbunge Mohamed Umar Dalha anusurika kwenye jaribio la kuawa

    Mmoja wa Wabunge wa Serikali ya Shirikisho la Somalia FG amenusurika kuawa baada ya kushambuliwa katika mtaa ngome ya Wanajeshi wa Kigeni AMISOM.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mmoja wa Wabunge wa Serikali ya Shirikisho la Somalia FG amenusurika kuawa baada ya kushambuliwa katika mtaa ngome ya Wanajeshi wa Kigeni AMISOM.Shambulio iliyofanyika mapema jana kwenye Wilaya ya Hamar Jajab ulihatarisha maisha ya Mbunge Mohamed Umar Dalha aliyewahi kuwa na nyadhifa mbalimbali katika Serikali inayongozwa na Hassan Sheikh.
Walioshuhudia wanasema watu waliokuwa na Silaha waliishambulia kwa Risasi Gari ya Mbunge huyo na kumwua Dereva wa Gari hilo huko Maaskari wawili waliokuwa walinzi wake wakijeruhiwa vibaya.Dalha amenusurika na shambulio hilo ingawa inasemekana kuchanganyikiwa kutokana na shambulio hilo huko Madaktari wakimshugulikia kwa matibabu zaidi,washambuliaji waliondoka eneo hilo kwa salama mpaka sasa haijajulikana kundi lililofanya shambulio hilo na inakuja wakati Wabunge wakiwa kwenye hali ya kununuliwa kwa pande zinazohasimiana kisiasa kati ya viongozi wawili wa Serikali inayofanya kazi na Wageni.

Related Items