Afisa wa Kijeshi wa Serikali ya FG auawa na Al-Shabab yathibitisha kuhusika.

Wednesday November 12, 2014 - 07:23:40 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1645
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Afisa wa Kijeshi wa Serikali ya FG auawa na Al-Shabab yathibitisha kuhusika.

    Watu waliojihami na silaha wamempiga Risasi Afisa mmoja wa Kijeshi aliyekuwa na cheo cha juu wakati ambapo hali ya usalama mjini Mugadishu ukiendelea kuwa tete.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Watu waliojihami na silaha wamempiga Risasi Afisa mmoja wa Kijeshi aliyekuwa na cheo cha juu wakati ambapo hali ya usalama mjini Mugadishu ukiendelea kuwa tete.Mashuhuda wanasema Mohamuud Abdi Gaddow ameuawa karibu na makutano ya KM4 mjini Mugadishu mwanaume huyo alikuwa Mkuu wa Usalama upande wa Uwanja wa Ndege mjini humo.
Mauaji ya Mkuu huyo ilikuwa wa mmoja kwa mmoja na waliotekeleza mauaji hayo ni kikosi cha Harakat Al-Shabab Al Mujahideen Afisa mmoja aliyezungumza kwa niaba ya Al-Shabab amethibitisha kuwa kikosi chao kilimwua mkuu wa Usalama upande wa Uwanja wa Ndege mjini Mugadishu.

Related Items