Makabiliano makali yafanyika mji wa Kismaayo na Kisiwa cha Madowa mkoani L/Jubba.

Wednesday June 18, 2014 - 22:27:09 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2150
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Makabiliano makali yafanyika mji wa Kismaayo na Kisiwa cha Madowa mkoani L/Jubba.

    Kuna taarifa zaidi zilizopatikana kuhusiana na mapigano makali yaliotokea masaa kadhaa yaliopita katika Mkoa wa Lower Jubba Kusini mwa Ardhi ya Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Picha ya wanajeshi wavamizi wa Kenya.
Kuna taarifa zaidi zilizopatikana kuhusiana na mapigano makali yaliotokea masaa kadhaa yaliopita katika Mkoa wa Lower Jubba Kusini mwa Ardhi ya Somalia.
Habari kutoka mjini Kismaayo zinaeleza kuwa Vikosi vya Mujahidina wa Wilayatul Islamiah ya Lower Jubba walifanya shambulio kubwa kwenye kambi ya Wanajeshi wa Kenya yaliopo kwenye chuo kikuu cha mjini Kismaayo.

Wakaazi wa eneo hilo walisema walisikia milio ya silaha nzito na yale ya rashasha waliokuwa wakishambuliana.

Upande mwingine Mujahidina walishambulia Kisiwa cha Madowa iliyopo mkoa wa Lower Jubba,Duru ziliarifu kuwa Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen waliokuwa na maboti madogo yanayokwenda kwa kasi walianza kufanya mashambulio kwenye kisiwa hicho ambapo kuna Wanamgambo kadhaa wa Mhalifu wa Kivita Ahmed Madobe anae ungwa mkono na Serikali ya Kenya.
Liban Jehow AbdiSomaliMemo,MugadishuRelated Items