Mkuu wa Wilaya ya A/Aziz anusurika kuawa.

Wednesday November 12, 2014 - 07:25:36 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1640
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mkuu wa Wilaya ya A/Aziz anusurika kuawa.

    Watu waliojihami na silaha walifanya shambulio nyumba mmoja anayoishi Mkuu wa Wilaya ya Abdulaziz iliyo chini ya utawala Mkoa wa Banadir.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Watu waliojihami na silaha walifanya shambulio nyumba mmoja anayoishi Mkuu wa Wilaya ya Abdulaziz iliyo chini ya utawala Mkoa wa Banadir.Mtu mmoja aliyopo Wilaya hiyo ya Abdulaziz ameliambia SomaliMemo kuwa watu waliokuwa na silaha ambapo walifunga nyuso zao waliingia kwa nguvu nyumba ya mkuu huyo na baada ya urushianaji wa risasi mkuu huyo aliweza kuruka juu ukuta na kufanikiwa kutoroka na kujinasua na jaribio lililolenga kummaliza.
Habari zaidi zinaeleza kuwa mwanameke aliyekuwa kwenye nyumba hiyo ameuawa kutokana na urushianaji wa risasi kati walinzi waliokuwa kwenye nyumba hiyo na washambuliaji.Ni shambulio la 3 kufanyika ndani ya siku mmoja katika mji mkuu wa Somalia Mugadishu Mbunge mmoja wa Serikali ameshambuliwa jana katika Wilaya ya Hamar Jajab na huko mkuu wa Usalama kwenye uwanja wa Ndege akiuawa katikati mwa mji wa Mugadishu jana hiyo hiyo.

Related Items