Sh.Abuu Mus'ab azungumzia opresheni kadhaa zilizofanyika mjini Mugadishu.

Wednesday November 12, 2014 - 07:27:45 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1944
  • (Rating 1.0/5 Stars) Total Votes: 2
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Sh.Abuu Mus'ab azungumzia opresheni kadhaa zilizofanyika mjini Mugadishu.

    Msemaji wa Kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen Sheikh Abdulaziz Abuu Mus'ab amezungumza na vyombo vya habari na kufafanua opresheni kadhaa zilizofanyika jana mjini Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Msemaji wa Kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen Sheikh Abdulaziz Abuu Mus'ab amezungumza na vyombo vya habari na kufafanua opresheni kadhaa zilizofanyika jana mjini Mugadishu.Amesema kikosi maalum cha Mujahidina walimwua kwa kumpiga risasi naibu mkuu wa Uhamiaji na aliyekuwa afisa aliyefundishwa na nchi za Magharibi.
"Mujahidina wamemwua naibu mkuu wa Murtadiina wa Shirika la Uhamiaji na alikuwa ni mtu aliyefundishwa na mataifa ya Magharibi na kuwa miongoni mwa Interpool",alinena Sh.Abuu Mus'ab.Harakat Al-Shabab Al Mujahideen imethibitisha kuwa siku hizi vikosi vyao huendesha operesheni kabambe dhi ya Maofisa wa Serikali ya FG mjini Mugadishu.Hata hivyo Msemaji wa Kijeshi wa Al-Shabab amezungumzia opresheni dhidi ya Wanajeshi wa Kigeni zilizofanyika nje ya miji ya Baraawe na Mugadishu.Related Items