Naibu mkuu wa Wilaya wa Hawlwadaag auawa mjini Mugadishu na Al-Shabab yathibitisha kuhusika.

Thursday November 13, 2014 - 21:48:27 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1276
  • (Rating 1.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Naibu mkuu wa Wilaya wa Hawlwadaag auawa mjini Mugadishu na Al-Shabab yathibitisha kuhusika.

    Kikosi mmoja wapo ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wametekeleza mauaji ya Afisa mwenye cheo cha juu katika utawala wa Mkoa wa Banadir.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kikosi mmoja wapo ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wametekeleza mauaji ya Afisa mwenye cheo cha juu katika utawala wa Mkoa wa Banadir.Yusu Nuur Hilal ambae alikuwa Naibu mkuu wa wilaya ya Hawlwadaag ameuawa katika Wilaya ya Wadajir,Mashuhuda walisema Watu waliokuwa na Silaha ambao ni mmoja ya vikosi vya Al-Shabab vinaoendeleza kuwawinda maofisa na viongozi wa Serikali kibaraka ya FG walimvizia Barabarani Gari aliyokuwa nalo Naibu Mkuu wa Wilaya ya Hawlwadaag na kisha kumwu papo hapo.
Afisa mmoja wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen aliyezungumza na vyombo vya habari amesema wao ndio wametekeleza mauaji ya Yusuf Nuur Hilal na ametishia kuwaua viongozi wote wa Serikali ya FG ambao ni sehemu ya unyanyasaji kwa Wananchi wa Kiislaam nchini Somalia.Ni Opresheni ya pili ndani ya masaa 24 kufanywa na Mujahidina wa Al-Shabab ndani ya mji mkuu wa Somalia Mugadishu,ilikuwa jana alipouawa naibu mkuu wa Uhamiaji na pia alikuwa na cheo katika shirika la Interpool na mauaji yake ilifanyika eneo la KM4 mjini Mugadishu ambao unasemekana kuwa na ulinzi mkali.

Related Items