Mapambano yaliosababisha hasara dhidi ya Wanajeshi wa Ethiopia yafanyika katika mji wa Baydoba.

Thursday November 13, 2014 - 21:50:07 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1302
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mapambano yaliosababisha hasara dhidi ya Wanajeshi wa Ethiopia yafanyika katika mji wa Baydoba.

    Habari kutoka mkoa wa Bay unaeleza kuwa jana usiku kulifanyika mapambano makali kwenye mji wa Baydoba iliyo makao makuu ya Mkoa huo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoa wa Bay unaeleza kuwa jana usiku kulifanyika mapambano makali kwenye mji wa Baydoba iliyo makao makuu ya Mkoa huo.Mapigano hayo yalikuja baada ya Mujahidina wa Al-Shabab kufanya mashambulio makubwa kwenye vituo vya Wanajeshi wavamizi wa Misalaba kutoka Ethiopia pamoja na Wanamgambo wa Kisomali wanaofanya kazi chini ya Maadui.
Wakaazi waliopo mji wa Baydoba wanasema jana usiku walisikia milio ya silaha nzito pamoja na risasi waliokuwa wakirushiana pande zilizokabiliana.Habari zaidi zinaeleza kuwa shambulio iliyofanyika eneo la Manya-Fuulka ilisababisha hasara kwa Wanamgambo wa Kisomali walio ngao kwa Wanajeshi wa Ethiopia waliokuwa na makao eneo hilo.Mikoa ya Bay na Bakool ni baadhi ya Mikoa ya kusini mwa Somalia ambao kuna harakati ya kukabiliana na Maadui Wavamizi wa Misalaba kutoka Ethiopia na Mikoa hizo kuna Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab ambao hufanya kazi zao.

Related Items