Kiongozi mmoja wa Serikali ya FG na Walinzi wake wote wauawa mjini Mugadishu.

Thursday November 13, 2014 - 21:51:51 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1473
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Kiongozi mmoja wa Serikali ya FG na Walinzi wake wote wauawa mjini Mugadishu.

    Habari kutoka Wilaya ya Hodan mjini Mugadishu zinaeleza kuwa Afisa mwenye cheo kwenye jeshi la Serikali ya FG ameuawa katika eneo ambao usalama wake unalindwa saana.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka Wilaya ya Hodan mjini Mugadishu zinaeleza kuwa Afisa mwenye cheo kwenye jeshi la Serikali ya FG ameuawa katika eneo ambao usalama wake unalindwa saana.

Kikosi cha Harakat Al-Shabab Al Mujahideen imemwua Col.Dahir Barre na mwanae ambao wote walikuwa kwenye Serikali ya FG.

Afisa mmoja wa Mujahidina wa Al-Shabab aliyezungumza na vyombo vya habari amesema ni wao ndio waliomwua Co.Dahir Barre ambae mwaka jana alikuwa akifanya kazi na Jeshi la Asluubta lakini hivi karibuni alihamia upande wa Wizara ya Usalama la Serikali inayoongozwa na Hassan Sheikh.

Ni Afisa wa pili kuawa ndani ya masaa 24 katika mji wa Mugadishu jana aliuawa Naibu mkuu wa Uhamiaji pamoja na Maaskari wawili waliokuwa wakimlinda kwenye mtaa wa KM4.

Related Items