Maandamano makubwa kuitikisa kesho Zanzibaar.

Thursday November 13, 2014 - 21:55:01 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3169
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 3 0
  • Share via Social Media

    Maandamano makubwa kuitikisa kesho Zanzibaar.

    Habari kutoka kisiwa kinachokaliwa kwa mabavu na Serikali Kibaraka ya Tanganyika zinaarifu kuwa Waislaam wameaswa kujitokeza kwa wingi ili kushiriki maandamano makubwa yanayotarajiwa kufanyika siku ya kesho.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka kisiwa kinachokaliwa kwa mabavu na Serikali Kibaraka ya Tanganyika zinaarifu kuwa Waislaam wameaswa kujitokeza kwa wingi ili kushiriki maandamano makubwa yanayotarajiwa kufanyika siku ya kesho.Maandamano yataanza baada ya Swala ya Ijumaa na una lengo la kuishinikiza viongozi vibaraka wa SMZ kuwarudisha nyumbani Mashekhe na vijana mbambali wanaoshikiliwa Dar Es Salaam.
"Ndugu Wazanzibari kwa heshima kubwa na taadhima tunapenda kutumia fursa tulionayo kikatiba kuwasilisha malalamiko yetu kwa Viongozi wa SMZ kwa njia ya Maandamano",ilidai sehemu ya taarifa iliyowekwa kwenye mtandao.


Pia taarifa hiyo imewataka waislaam kujitokeza kwa wingi na kuonyesha udugu na huruma kwa ndugu zao wanaoteswa Magerezani na kufanyiwa vitendo kinyume na Maumbile ya mwanaadam.


"Hili ni wajibu wetu sote Kwa kusimama mbele ya muonevu(dhaalimu) kadri ya uwezo wetu na kumsapoti(ALIYEONEWA) iwe kwa uhai,pesa au dua mpaka arudishiwe haki yake . Kuna malipo makubwa katika hili. Mtume(saw) amesema :”Allah humsaidia mja wake madamu tu mja (huyu) humsaidia ndugu yake muislamu”.(MUSLIM). Related Items