Mapambano makali tofauti yafanyika katika miji ya Baraawe na Kismaayo.

Friday November 14, 2014 - 23:01:19 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1897
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Mapambano makali tofauti yafanyika katika miji ya Baraawe na Kismaayo.

    Habari kutoka mkoani Lower Shabelle zinaarifu kuwa mapambano makali yamefanyika katika mji wa Baraawe ambapo mwezi mmoja uliopita waliingia Wanajeshi wa Kigeni.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoani Lower Shabelle zinaarifu kuwa mapambano makali yamefanyika katika mji wa Baraawe ambapo mwezi mmoja uliopita waliingia Wanajeshi wa Kigeni.Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab walitekeleza shambulio kali jana usiku kwenye vituo kadhaa vya Wanajeshi wa Kigeni,Wakaazi walisema walisikia milio ya silaha nzito na yale ya rashasha ambapo makundi yaliopambana walikuwa wakirushiana.
Ililkuwa jana tu ambapo shambulio iliyomkosa kosa Col.Gobanle iliyofanyika nje ya mji wa Baraawe,Gobanle ni miongoni mwa maofisa wa Kijeshi wa Serikali Kibaraka ya FG.Upande mwingine mashambulio makali yamefanyika dhidi ya vituo vya Wanajeshi wavamizi kutoka Kenya yaliokuwa kwenye kijiji cha Buula Gaduud nje kidogo ya mji wa Kismaayo.Mujahidina nchini Somalia wamezidisha harakati zao za kukabiliana na Maadui waliovamia Ardhi hiyo iliyoko Pembe ya Afrika.
Related Items