Dola ya Kiislaam inayodhibiti maeneo makubwa nchini Syria na Iraq imetangaza kutoa Pesa mpya itakayo tumika kwenye maeneo yote inayodhibiti.
Taarifa rasmi kutoka kwenye Jumba la Beytul Maal la Dola ya Kiislaam imeonyesha Pesa hizo mpya zilizoundwa na Mujahidina.
Pesa hizo ni pamoja na 1 Dhahabu,2 Fedha,3-Nuhaas au Shaba na ni Pesa iliyo na dhamani kubwa ukilinganisha na Dola ya Kimarekani.
Baraza la Shura la IS limekwisha saini kutolewa kwa Sarafu hizo mpya ili Umma uweze kuwa huru kutokana na Nidhamu ya Kiuchumi wa Watawala wa Kitaghuti na Mayahudi ambapo wamewafanya Waislaam kuwa ni watumwa kwa pesa,ilisema sehemu ya taarifa ya Dola ya Kiislaam.
Jedwali inayonyesha muundo wa Sarafu mpya ya Dola ya Kiislaam na Dola za Kimarekani.
Sarafu mpya ya Khilafah
Dhidi ya Dola za Marekani
Sent
Dinari Mmoja ya Dhahabu
ni sawa na USD $ 139
Dinari 5 ya Dhahabu
ni swa na USD $694
Dirham Mmoja ya Fedha
ni sawa na USD $1
Dirham 5 ya Fedha
ni sawa na USD $4.5
Senti
Dirham 10 ya Fedha
ni sawa na USD $9
Fuluus 10
ni sawa na USD $0.6.5
Senti
Pesa hizi zinatarajiwa kwanza kutumika katika miezi ya hivi karibuni kwenye mataifa ya Syria na Iraq ni mara ya kwanza kwa utawala wa Kiislaam kwa zama hizi kutekeleza kutumia Sarafu mpya ya kipekee.
Tizama hapa chini taarifa iliyoandaliwa na Al-Jazeera
VIDEO:Dola ya Kiislaam yatangaza Sarafu mpya iliyotengenezwa kwa Dhahabu na Fedha.
Dola ya Kiislaam inayodhibiti maeneo makubwa nchini Syria na Iraq imetangaza kutoa Pesa mpya itakayo tumika kwenye maeneo yote inayodhibiti.