TIZAMA PICHA:Viongozi wa Mashia nchini Iraq wavaa Mavazi ya Kijeshi na kutangaza Mauaji dhidi ya Waislaam wa Kisunni.

Thursday June 19, 2014 - 23:01:48 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3720
  • (Rating 5.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 0
  • Share via Social Media

    TIZAMA PICHA:Viongozi wa Mashia nchini Iraq wavaa Mavazi ya Kijeshi na kutangaza Mauaji dhidi ya Waislaam wa Kisunni.

    Viongozi wa Marwafidha wa Nchi Iraq na Iran wameahidi kukaza misuri na kutangaza Mapambano dhidi ya Waislaam wa Kisunni ambao hivi sasa unaendelea baadhi ya maeneo nchini Iraq.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kiongozi wa Maraji'a wa Kishia akiwa amevalia Gwanda la Kijeshi akitangaza Vita dhidi ya Waislaam wa Kisunni nchini Iraq.
Viongozi wa Marwafidha wa Nchi Iraq na Iran wameahidi kukaza misuri na kutangaza Mapambano dhidi ya Waislaam wa Kisunni ambao hivi sasa unaendelea baadhi ya maeneo nchini Iraq.
Rais wa Jamhuri ya Kishia ya Iran Hassan Ruhani ametangaza kuwatuma Wanajeshi kwenda Iraq ikiwa itahatarishwa Makaburi yanayoabudiwa na Mashia yaliopo kwenye miji ya Najaf na Karbala nchini Iraq.


Rohani ameonyesha khofu yake kuendelea kujipanua kwa Mujahidina wa Dola ya Kislaam ya Iraq na Shaam ambapo wameudhibiti miji muhimu nchini Iraq.


Embedded image permalink

Embedded image permalink

Televisheni ya Al Arabia inayozungumza kwa niaba ya Serikali ya Nuri Al Maliki ilionyesha Viongozi wakubw wa Kishia Mushrikina akiwemo Ayatullah Ali Sistani wakiwa wamevalia Magwanda ya Kijeshi kwa kuashiria kutangaza Vita dhidi ya Waislaam wa Kisunni nchini Iraq.

Waziri wa masuala ya nje wa utawala wa Kishia nchini Iraq Hoyshar Zibari amesema amewaomba Mashekhe nchini Saudi Arabia kutoa Fatwa ya kupinga Jihadi inayoendelea nchini Iraq.

Msemaji wa Dola ya Kislaam Sheikh Mohamed Al Adnani kwa upande wake amesema maelfu ya Waislaam wa Kisunni wamejitokeza kwa wingi kwa minajili ya kuwa Mutadawi'iina kwenye makambi ya Mujahidina na kuchukua Mafunzo ya Kijeshi ili kukabiliana na Washirikina wa Kishia wanaoungwa mkono na mataifa ya Iran,Marekani na mataifa ya Magharibi.

Related Items