TIZAMA PICHA:ISIS wazidi kuzikomboa maeneo zaidi nchini Iraq na Waislaam wajitokeza kuandamana.

Thursday June 19, 2014 - 23:14:34 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2410
  • (Rating 1.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 0
  • Share via Social Media

    TIZAMA PICHA:ISIS wazidi kuzikomboa maeneo zaidi nchini Iraq na Waislaam wajitokeza kuandamana.

    Maelfu ya Wananchi wa Kislaam wamejitokeza kwenye miji ya Salahudiin na Tikrit nchini Iraq ambapo hivi karibuni waliufungua Mujahidina wa Dola ya Kislaam ya Iraq na Shaam wakisadiana na Makabila ya Kisunni.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Maelfu ya waislaam wa kisunni wakiandamana katika mji wa Muusil nchini Iraq.
Maelfu ya Wananchi wa Kislaam wamejitokeza kwenye miji ya Salahudiin na Tikrit nchini Iraq ambapo hivi karibuni waliufungua Mujahidina wa Dola ya Kislaam ya Iraq na Shaam wakisadiana na Makabila ya Kisunni.

Kwenye mji wa Muusil Maandamano makubwa umeshuhudiwa ambapo makabila ya Kisunni wamejitokeza na kutangaza kukabiliana na Mashia wa Iran ambayo hivi karibuni ilitangaza kuisaidia Utawala wa Nuri Al Maliki.

Mji wa Muusil kwa siku ya 10 sasa iko mikononi mwa Mujahidina wa Dola ya Kislaam ambapo nchi ya Iraq kwa sasa inaonekana umegawika pande mbili ya Wasuni na Mashia.

Upande wa ISIS wameudhibiti mji wa Dozkhomato iliyo nje kidogo ya mji wa Kirkuk baada ya mapigano yaliodumu masaa kadhaa Mujahidina walifanikiwa kuingia ndani ya mji huo ambao wengi wa wakazi wake ni washia na ni mji wa pili ambao kwa wakzi wake wengi ni Mashia unaochukuliwa na Mujahidina wa Dola ya Kislaam ya Iraq na Shaam.

Related Items