Al-Shabab "Hakuna mateka yeyote aliyechukuliwa na Mujahidina kwenye shambulio la Mpeketoni Kisiwani Lamu".

Thursday June 19, 2014 - 23:21:18 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2740
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Al-Shabab "Hakuna mateka yeyote aliyechukuliwa na Mujahidina kwenye shambulio la Mpeketoni Kisiwani Lamu".

    Harakat Al-Shabab Al Mujahideen kwa mara ya pili imezunguzia shambulio iliyosababisha hasara katika Makazi ya Mpeketoni nchini Kenya.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Uharibifu wa mali uliotokana na shambulio la Mpeketoni Kenya 16,June,2014.
Harakat Al-Shabab Al Mujahideen kwa mara ya pili imezunguzia shambulio iliyosababisha hasara katika Makazi ya Mpeketoni nchini Kenya.


Afisa mmoja miongoni mwa Mujahidina wa Al-Shabab aliyezungumza na Idhaa ya Al Andalus inayozungumza kwa niaba ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ameliambia hakuna mateka yeyote aliyechukuliwa na Mujahidina kutoka katika eneo la Mpeketoni Kisiwani Lamu.

"Opresheni iliyofanyika Mpeketoni ilimalizika kama ilivyokuwa imepangwa,hakuna mtu yeyote aliyechukuliwa kama mfungwa kutoka katika eneo la Mpeketoni,Maadui walioshambuliwa wamekuwa waliouawa na wengine waliojeruhiwa na wengine waliokimbia",alisema afisa huyo wa Al-Shabab aliyetangazwa na Al Andalus.

Kamanda wa Polisi nchini Kenya alisema alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuwa Al-Shabab iliwateka watu 15 wakiwemo wanawake na wanaume kutoka kwenye eneo la Mpeketoni habari ambayo Al-Shabab imeyakanusha.

Mashambulio yaliofanyika Mpeketoni na nje ya Mpeketoni yamegharimu maisha ya wakenya zaidi ya 70,vyombo vya habari vilidai kuwa Mujahidina wa Al-Shabab wamewateka wati 15 wakiwemo wanawake na wanaume kutoka katika eneo la Mpeketoni.
Liban Jehow Abdi 


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items