Ndege za Kenya yafanya mashambulio makubwa kwenye maeneo ya mkoa wa Jubba ya Kati.

Friday November 28, 2014 - 08:48:57 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 5082
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 1
  • Share via Social Media

    Ndege za Kenya yafanya mashambulio makubwa kwenye maeneo ya mkoa wa Jubba ya Kati.

    Habari kutoka mkoa wa Jubba ya kati zinaeleza kuwa Ndege za kivita za Kenya zimefanya tena mashambulio ya ki Adui katika kijiji kilicho chini ya mji wa Jilib.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoa wa Jubba ya kati zinaeleza kuwa Ndege za kivita za Kenya zimefanya tena mashambulio ya ki Adui katika kijiji kilicho chini ya mji wa Jilib.Mwandishi Faisal Somali aliyopo mkoa wa Jubba ya Kati kusini mwa Ardhi ya Somalia anaarifu kuwa kijiji cha "Hargeysa Ndogo" imekutana na shambulio kubwa la ndege za kivita kutoka Kenya na kuongeza kuwa Allah amewanusuru wananchi wa kijiji hicho kutokana na Shari ya Serikali hiyo ya Kikristo.
Ndege hizo za kivita yalidondosha takriban Mabomu 9 kwenye kijiji hicho lakini hakuna hasara yeyote yaliosababishwa na Mashambulio ya Ndege hizo.Mkaazi mmoja aliyopo "Hargeysa Yarey" amesema alipokuwa akizungumza "Allah ametunusuru kutokana na Shambulio hilo hakuna hata mtu mmoja aliye jeruhiwa wala mifugo iliyouawa na shambulio hilo".Serikali ya Kikafiri ya Kenya inajaribu kufanya mauaji dhidi ya Wananchi wa Kiislaam wa Somalia ili kuwatuliza Wananchi wake waliouawa kwenye shambulio la Basi ya mji wa Mandera Kaskazini Mashariki mwa Kenya.

Related Items